Matokeo ya kidato cha sita 2024 yametoka. Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita uliofanyika Mei 2024 ambapo jumla ya Watahiniwa 111,056 sawa na 99.43% ya waliofanya Mtihani wamefaulu
Ufaulu Mwaka huu umepanda kwa asilimia 0.20 ukilinganisha na mwaka 2023.
Kuangalia matokeo ingia kwa kubonyeza NEMBO au hili neno FORM SIX NECTA RESULTS>