• Unda chapisho kwa kubonyeza "Create New Post" kama ni mwanachama kumbuka ku-LogIn na kama sio mwanachama kumbuka ku-signUp
• Shirikisha (share) kwa wengine ili chapisho lako litazamwe kwa wingi
• Ili ulipwe Tsh. 5,000 kwa chapisho moja inatakiwa uwe na watazamaji wasiopungua elfu moja (1,000)
• Idadi ya watazamaji ikitimia njoo inbox kwenye "ChatBox" kisha tutumie link ya chapisho lako na namba ya simu ambayo itatumika kupokea pesa.