Kwako Mwalimu/ Mkufunzi, karibu ujiunge na shule yetu ya mtandaoni kwa kujaza fomu, utaingia www.eshareup.com/online-school kisha utaona mahali palipoandikwa "Become a Teacher/ Tutor" ukibonyeza hapo uta-LogIn (if you are a site member) or SignUp (if you are not a site member) na fomu itafunguka kisha utaijaza.
Jiongezee kipato cha kuwafikia wanafunzi mtandaoni. Kazi yako ni kuandaa maudhui ya somo/ topic kisha tutayaweka kwenye mfumo na wewe utalipwa kulingana na idadi ya washiriki waliojiunga kujifunza somo/topic yako (hakuna kikomo cha wanafunzi wa kujiunga)