Rejea mwaka 2024: SIMBA ilivuna pointi 39 na YANGA ilivuna pointi 31 (ni kwa kipindi cha miaka 5 kulingana na viwango vya CAF) kwa hiyo mwaka 2025 points zitakuwa kama ifuatavyo;
________________________________
SIMBA ikiishia hatua zifuatazo itakuwa imevuna points kama ifuatavyo katika kipindi