Rejea mwaka 2024: SIMBA ilivuna pointi 39 na YANGA ilivuna pointi 31 (ni kwa kipindi cha miaka 5 kulingana na viwango vya CAF) kwa hiyo mwaka 2025 points zitakuwa kama ifuatavyo;
________________________________
SIMBA ikiishia hatua zifuatazo itakuwa imevuna points kama ifuatavyo katika kipindi chake cha miaka mitano (5);
• Group stage 4th position [0.5*5+3*4+3*3+2*2+3*1] = 30.5 pts
• Group stage 3rd position [1*5+3*4+3*3+2*2+3*1] = 33 pts
• Robo Fainali [2*5+3*4+3*3+2*2+3*1] = 38 pts
• Nusu Fainali [3*5+3*4+3*3+2*2+3*1] = 43 pts
• Fainali [4*5+3*4+3*3+2*2+3*1] = 48 pts
• Ubingwa [5*5+3*4+3*3+2*2+3*1] = 53 pts
__________________________________
YANGA ikiishia hatua zifuatazo itakuwa imevuna points kama ifuatavyo katika kipindi chake cha miaka mitano (5);
• Group stage 4th position [1*5+3*4+4*3] = 29 pts
• Group stage 3rd position [2*5+3*4+4*3] = 34 pts
• Robo Fainali [3*5+3*4+4*3] = 39 pts
• Nusu Fainali [4*5+3*4+4*3] = 44 pts
• Fainali [5*5+3*4+4*3] = 49 pts
• Ubingwa [6*5+3*4+4*3] = 54 pts