top of page
CHATNAYE | LEO ni jukwaa mchanganyiko (wanaume na wanawake) wenye uhitaji wa kuongeza marafiki kila siku. Jukwaa hili ni la siri (private group) yaani mpaka mtu awe amepitishwa na uongozi ndipo unaweza kuona waliopo ndani ya group.
KANUNI NA TARATIBU ZA GROUP:
1. Lengo kuu la group ni kutengeneza marafiki wapya kila siku,
2. Utajitambulisha kwa picha, jina kamili, umri na mahali ulipo,
3. Hauruhusiwi kushare mambo ya ngono katika group,
4. Hauruhusiwi kumfuata mtu yeyote inbox binafsi na kumtumia jumbe, picha, video au sauti za vitisho na ngono.
⚠️ Ukiukaji wa kanuni na taratibu hizi utaondolewa kwenye jumuiya hii moja kwa moja.
KARIBU UJIUNGE NA JUMUIYA YETU KUBWA
bottom of page