top of page
Waiting Room
Eshare Icon_edited.png
ESHARE BUSINESS ni jukwaa la WhatsApp la wafanyabiashara/ watoa huduma kwa kutumia mtandao wa www.eshareup.com Faida katika matumizi ya mtandao huu ni, 1. Kuweka tangazo ni bure 2. Kama utapata changamoto ya utumiaji utaelekezwa bure 3. Tangazo lako litakaa hewani muda wote na wewe uliyeliweka unamaamuzi nalo kwa kulishashisha (update) au kuliondoa (delete) 4. Matangazo yote yataonekana kwenye jukwaa moja katika mpangilio 5. Tangazo litaonekana kwenye mitandao ya kijamii mingine 6. Mawasiliano ya huduma/ biashara yako ni yale yakwako na kwa nyongeza utaambatanisha link za mitandao yako ya kijamii 7. Utaweza ku-share tangazo lako kwenye mitandao mingine. Kwa changamoto yoyote save namba hii 0764863196 njoo inbox tukusaidie. KARIBU KATIKA JUKWAA LETU PENDWA
bottom of page