top of page
TIBA YA MOYO ni jukwaa la elimu, mafunzo na tiba katika safari ya uchumba au maisha ya ndoa. Tunatambua katika mahusiano kuna raha na changamoto zake.Tunahitaji utulivu wa moyo katika mahusiano yetu na hatuhitaji kukurupuka katika maamuzi.Karibu tujifunze na kufunzana zaidi.
KANUNI NA TARATIBU ZA GROUP:
- Lengo kuu la group ni ku-share changamoto, kutoa ushauri na posts za kupeana moyo katika mahusiano ya uchumba au maisha ya ndoa
- Hauruhusiwi kushare mambo ya ngono katika group,
- Hauruhusiwi kumfuata mtu yeyote inbox binafsi na kumtumia jumbe, picha, video au sauti za vitisho na ngono,
- Hauruhusiwi kuweka jumbe, video, picha au sauti za vichochezi vya siasa, ziwe siasa ndani ya Tanzania au nje ya Tanzania.
⚠️ UKIUKAJI WA KANUNI NA TARATIBU HIZO UTAONDOLEWA KWENYE JUMUIYA HII MOJA KWA MOJA.
bottom of page